DKT BITEKO ATEMBELEA BANDA LA REA KATIKA MKUTANO WA NISHATI 2024 ARUSHA

Na Mwandishi wetu 


📌Apokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea nchini


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024  unaofanyika leo tarehe 4 Disemba, 2024 jijini Arusha.

Post a Comment

0 Comments