Mkuu wa mkoa wa Katavi,Mwanamvua Mrindoko ametoa wito kwa wananchi wote ndani ya Mkoa wa Katavi kujitokeza kwa wingi katika ziara ya Waziri Mkuu Dr.Mwigulu Nchemba inayotarajiwa kuanza hivi karibuni Mkoani humo Akizungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake leo March 11,2026…
Read moreNa Shushu Joel ,Bukombe. MBUNGE wa Jimbo la Bukombe Mkoani Geita Dkt. Doto Biteko amewataka wanaume kuongeza thamani kwa wanawake ambao wamekuwa nguzo imara ya maendeleo katika taifa Mwanamke ni nguzo duniani kutokana na uimara wake katika masuala mbalimbali katika jamii na …
Read moreNa Shushu Joel, Bukombe MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (Uvccm) Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita Ndugu. Nelvin Salabaga anaungana na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 katika kusimama …
Read moreMheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, katika Ikulu ya Chamwino, kujadili maeneo muhimu ya ushirikiano na kuimarisha dhamira ya pamoja ya kujenga ushirikiano wa kisasa…
Read moreNa Shushu Joel WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Watanzania wanataka kuiona nchi yao ikifikisha lengo la uchumi wa kati wa dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050 na watakaofanikisha jambo hilo ni sekta binafsi ikiwemo wenye wabunifu kutoka kwenye kampuni changa. “Mtakum…
Read moreNa Veronica Mrema - Pretoria Uandishi wa habari za sayansi kwa umakini na umahiri ni nyenzo muhimu ili kufikisha ujumbe sahihi kwa jamii, kusaidia kukuza maendeleo ya tafiti na vumbuzi mbalimbali. Bara la Afrika bado lina uhitaji mkubwa wa waandishi wa habari ambao wamejikita na wapo na …
Read morePRETORIA, AFRIKA KUSINI Kilele cha utambuzi wa uandishi wa habari za kidijitali nchini Tanzania kimethibitishwa baada ya Bi. Veronica Mrema, Mwanzilishi wa chombo cha habari cha M24 TANZANIA MEDIA na mwanachama mahiri wa Tanzania Bloggers Network (TBN), kuingia rasmi kwenye jopo la mdahal…
Read more