NA MWANDISHI WETU
Mhe Dorothy George Kilave Mbunge wa Jimbo la Temeke, Awasili Kata ya Azimio kwa ajili ya kuhudhuria kikao kazi cha UWT Kata ya Azimio.
Akiwa katika kikao kazi hicho amewapongeza Viongozi wapya wa UWT Kata ya Azimio Kwa kuchaguliwa, Kisha amesisitiza huu ni Muda wa kufanya kazi, kuimalisha CCM na kuisimamia vyema Serikali na yeye katika Nafasi ya Ubunge Kwa kushirikiana na Madiwani, Wenyeviti wa Mitaa Na Wananchi atahakikisha Wanatekeleza ILANI ya CCM Kwa Maendeleo ya Jimbo la Temeke.
Mhe Mbunge pia amebainisha mambo kadhaa yanayofanywa na Serikali katika Kata ya Azimio ikiwemo
Utekelezaji wa Ujenzi wa Matundu 8 ya Vyoo na Ukarabati wa vyumba 4 Vya Darasa Shule ya Msingi Mwangaza Kwa kutumia Tsh Million 20 Fedha za Mfuko wa Jimbo.
Ofisi ya Mbunge Kufanikisha Kupatikana Kwa Mabati 200 kutoka katika udhamini wa Benki ya NMB Kwa ajili ya ukarabati wa Shule ya Msingi Azimio kata ya Azimio.
Kufanikisha Ukarabati wa Vyumba 3
0 Comments