DC ILEJE ASHIRIKI MAFUNZO YA UONGOZI KWA WAKUU WA WILAYA DODOMA.

 NA MWANDISHI WETU

Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mhe. Farida Mgomi katika picha akishiriki  mafunzo ya uongozi yaliyoanza leo Machi 13_18,2023 Kwa wakuu wa wilaya za Tanzania Bara wakiwa katika Ukumbi wa Mtumba Jijini Dodoma.

Mkuu wa wilaya ya Ileje Farida Mgomi akisikiliza kwa makini mafunzo ya wakuu wa wilaya Dodoma


Mafunzo hayo yamefunguliwa rasmi na makamu wa rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Philipo Mpango.


Mafunzo ya wakuu was wilaya yameandaliwa na ofisi ya Rais Taimisemi Kwa ajili ya kuwajengea uwezo wakuu wa wilaya .

Pia Mafunzo hayo yatawafanya wakuu wa wilaya kuweza kutatua changamoto zinazowakabili9 wananchi wao kwa wakati hivyo mafunzo haya ni muhimu sana kwao

Post a Comment

0 Comments