MBUNGE WA JIMBO LA BUSEGA APATA UTEUZI

Na Shushu Joel,Dodoma


 Mbunge wa Jimbo la Busega Mkoani Simiyu Mhe Simon Songe ameteuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali  (PAC) 


Hivyo kuanzia sasa kamati hiyo ya ukaguzi wa mahesabu ipo tayari kuanza kutekeleza majukumu yake pindi wajumbe watakapo pewa mafunzo ili kuingia katika utekelezaji kabla ya Mkutano wa  pili wa Bunge la kumi na mbili lilipangwa kuanza 02,February 2021.


Imetolewa na:

Kitengo cha Habari

Ofisi ya Mbunge 

Jimbo la Busega.

Post a Comment

0 Comments