Na Shushu Joel
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Akizungumza mara baada ya uteuzi huo Kikwete alisema kuwa Rais ndiye ameniteua nani sitomwangusha nitahakikisha namsaidia kutimiza majukumu yangu nitakayopangiwa.
'Kikubwa ni kumuomba Mungu Kwani yeye ndiye mpangaji wa nafasi hapa duniani" Alisema Kikwete
0 Comments