RC KUNENGE AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA ARDHI

 Na Shushu Joel, Bagamoyo

Mhe Abubakar Kunenge Mkuu wa Mkoa wa Pwani  amefanya ziara kwenye maeneo yenye Mgogoro Vitongoji vya Kiharaka, Kimele, Keimbeni na Mapinga Bagamoyo kutoa maamuzi ya Migogoro hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge akisisitiza jambo mbele ya wananchi wenye migogoro ya Ardhim Bagayoni ( SHUSHU JPOEL}

 Ikiwemo Wananchi waliovamia maeneo ya wenye Hati kufanya maridhiano na wenye Ardhi, walioshinda kesi kukazia hukumu na wenye madalali wa mahakama kufanya Utekelezaji wa hukumu hizo.


 Na kwa wale wenye kesi mahakamani kufuatilia kesi zao mpaka zitakapitolewa maamuzi.Hatua hiyo ni Utekelezaji wa mapendekezo ya Kamati ya uchunguzi wa Migogoro ya Ardhi Kata ya Mapinga  iliyoundwa na Waziri Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

MWISHO

Post a Comment

0 Comments