Na Shushu Joel
Wanachama wa chama cha Mapinduzi wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani wametakiwa kuanzisha miradi ya kiunchumi ili kuacha utegemezi unaowafanya kudharailka.
![]() |
Mwenyekiti wa Wazazi wiklaya ya Bagmoyo akifafanua jambo. |
Akizungumza wakati wa Baraza la Wazazi kata ya Dunda wilayani Bagamoyo alisema endapo kutakuwa na miradi basi utegemezi wa watu wachache utapungua.
Alisema kwa sa wamekuwa walidharaulika kwa sababu ya kukosa vitega uchumi ambavyo bitawawezesha kujitegemea katika shughuli mbalimbali.
"Wanaccm lazima tubadilike vinginevyo titaluwa tunakadiliwa thamani zetu kwa wenzetu waliopo katika mamlaka" alisema aliseama Mlawa.
Aliongeza kuwa wapo Viongozi ambao hawatimizi wajibu wao lakini kutokana na hali mbaya ya kiuchumi wamekuwa wakinyanyaswa na kutukanwa kutokana na kali zao.
Awali akitoa taarifa ya kazi ya kata hiyo ya Dunda,Katibu wa Jumuiya ya Wazazi kata hiyo Bi sharifa Chambuso alisema wanatarajia Kufungua kiwanda cha chaki katika kutekeleza maagizo ya Mwenyekiti wa Wazazi wilaya.
Alisema mradi huo utasaidia Jumuiya kujitegemea na kuwa na kitega uchumi kitachowezesha Jumuiya kujitegemea
0 Comments