RAIS MSTAAFU DKT KIKWETE AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA RAIS SAMIA NCHINI ETHIOPIA

 Na Mwandishi wetu



Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha ujumbe Maalum wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy  Ahmed. Ujumbe huo umewasilishwa Ikuku jijini Addis Ababa April 11, 2025.  Mhe. Kikwete pia aliwasilisha Salamu za Rais Samia ambazo zilisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiono wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Ethiopia  ambao uliimarika tokea  kipindi cha uanzishwaji wa Umoja wa Afrika.

Post a Comment

0 Comments