MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
Philip Mpanga amefanya ziara Mkoani Pwani katika mitamba ya uzalishaji wa maji
Ruvu chini kwa lengo la kujionea kile kinachoendelea katika mitambo hiyo.
Katika
ziara hiyo hiyo Makamu wa Rais Dkt Mpango ameambatana na Mtendaji Mkuu wa DAWASA
Crypian Luhemaji na viongozi wengine mbalimbali wa Mkoa huo na wilaya ya
Bagamoyo

0 Comments