UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WAFIKIA ASILIMIA 96%" RC KUNENGE


Na Shushu Joel, Pwani


MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakar Kunenge amewaeleza waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali kuwa mpaka sasa maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru umefikia asilimia 96% mpaka sasa.



Akitoa takwimu hizo Mkuu huyo wa Mkoa alisema kuwa mambo yanazidi kwenda kama vile ilivyokusudiwa kwa ajili ya uzinduzi huo.


Aidha amewataka wananchi wa Mkoa wa Pwani kuhakikisha wanashiriki katika uzinduzi huo kikamilifu ili waweze kujionea yale yanayokwenda kufanyika siku hiyo.


"Kauli mbiu ya Mwenge wa uhuru mwaka huu inasemajitokeze kushiriki uchaguzi Mkuu 2025 kwa amani na utulivu"

MWISHO 

Post a Comment

0 Comments