KIRUNGU AREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA ULANGA


Kwa moyo wa uzalendo, ujasiri na dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi wa Ulanga  Mkoani Morogoro  Ndg Abdallah Kirungu  maarufu kama Mkulima  amerejesha rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ulanga


kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Post a Comment

0 Comments