MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya CPA.Hassan Lubuva amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika jimbo la Kondoa
CPA Lubuva amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025 na kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Wazazi wa chama -CCM -Juma Seif katika ofisi za chama hicho wilaya ya Kondoa.
katika jimbo Hilo la Kondoa zaidi watia kwa nafasi ya ubunge mpaka Sasa wamefika 9 na tarehe 2 ni mwisho wa kuchukua fomu hizo.
0 Comments