MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya CPA.Hassan Lubuva amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika jimbo la Kondoa CPA Lubuva amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025 na kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Wazazi wa chama -CCM -Juma Seif katika…
Read moreKwa moyo wa uzalendo, ujasiri na dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi wa Ulanga Mkoani Morogoro Ndg Abdallah Kirungu maarufu kama Mkulima amerejesha rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ulanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Read moreNa Shushu Joel, Bunda. KATIBU wa Siasa na Itikadi wa kata ya Balili Wilaya ya Bunda Mkoani Mara Ndugu Edward Nyamanyi amewataka wana Chama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania uongozi mbalimbali mara kipyenga kitakapopulizwa . Rai hiyo ameitoa alipokuwa akizun…
Read moreNa Mwandishi wetu Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka amewataka Wazazi , walezi, viongozi wa dini na wadau mbalimbali wa maendeleo kukumbuka jukumu lao la kuwalinda watoto ili kuwajengea ustawi wa kesho kwa kuwaunda kuwa watumishi bora katika Taifa la kesho. Mhe. S…
Read moreNimeshiriki na kuhutubia Kongamano lililoandaliwa na Taasisi ya PPRA lililolenga kujadili Ununuzi wa umma na Ukuzaji wa kampuni za wazawa na makundi maalum kwa ukuaji wa Uchumi Jumuishi katika zama hizi za mabadiliko ya teknolojia/ Kidigitali lililofanyika Jijini Arusha Katika hotuba yan…
Read moreNa Shushu Joel, Bagamoyo WANA Chama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani wamempongeza Mbunge wa Mkoa huo Bi, Subira Mgalu kwa kusema kuwa kiongozi huyo ni sawa na Lulu iliyotelemshwa na Mungu. Wakizungumza na HABARI MPYA BLOG Wananchi hao walisema kuwa kwa jinsi a…
Read moreNa Shushu Joel, Mlandizi MJUMBE wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa anayetokana na Umoja wa Wanawake Tanzania Bi Nadra Ghulam amewaonya viongozi wote kuanzia ngazi za matawi mpaka Wilaya ambao wamekuwa na tabia ya kutokufanya mikutano na Wananchi wa maeneo yao. Onyo hilo…
Read more